1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.03.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S13 Machi 2018

Leo inatimia miaka mitano tangu kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis achaguliwe rasmi kushika nafasi hiyo// Kuimarika kwa rais wa China Xi Jinping ambaye sasa anatazamiwa kutawala milele baada ya bunge la nchi hiyo kuondoa ukomo wa mihula ya rais mwishoni mwa juma, kunatazamwa na wachambuzi kadhaa kuwa kutairejesha China katika enzi za Mwenyekiti Mao Zedong.

https://p.dw.com/p/2uDXG