13.01.2022 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 13.01.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

13.01.2022 Matangazo ya Jioni

Mkuu wa shirika la kimataifa la haki za binadamu Human Rights Watch Kenneth Roth, amesifu hukumu iliyotolewa leo na mahakama ya Ujerumani dhidi ya afisa wa zamani wa ujasusi wa Syria kuwa ya kihistoria+++Kamati ya Nobel yasema Abiy ana jukumu maalumu katika mzozo wa Tigray+++Serikali ya Marekani imeidhinisha kuachiliwa kwa wafungwa wengine watano kutoka jela ya kijeshi ya Guantanamo Bay.

Sikiliza sauti 59:59