13.01.2022 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 13.01.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

13.01.2022 Matangazo ya Asubuhi

Wasafiri nchini Mali wamekwama kutokana na vikwazo vya Afrika Magharibi+++Msumbiji- Wapiganaji wameendelea kutanua uwanja wa mapambano unaolizunguka eneo la mkoa wa kaskazini wa Cabo Delgado+++ Bunge la iraq limefanya kikao chake cha kwanza lakini mijadala ya ufunguzi iligeuka kuwa mabishano makali kati ya makundi ya Washia.AFCON- Ivory Coast yapata ushindi dhidi ya Guinea ya Ikweta.

Sikiliza sauti 51:59