Uganda: Kampeni za uchaguzi zilihitimishwa jioni ya jana Jumanne, baada ya kufanyika katika mazingira ya mivutano ambayo wakati mwingine ilikuwa na umwagikaji wa damu/ wananchi wa Tanzania wanaufuatilia kwa karibu uchaguzi mkuu wa Uganda utakaofanyika Alhamisi/ Kenya inaanza mchakato wa kumchagua Jaji Mkuu mpya/ Barakoa: Juliet Namujju aliamua kutafuta matumizi mengine ya taka za plastiki