1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.01.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S13 Januari 2020

Marekani yaionya Iran dhidi ya kuwashambulia raia wake/ Huenda pande hasimu Libya zikatia saini makubaliano ya kusitisha mapigano/ Maoni: Merkel na Putin - Si marafiki lakini ni washirika/ Walimu watatu wauawa na wanamgambo wa al- Shabaab, Garissa, Kenya/ Makamu wa Rais nchini Kenya ameukosoa Mpango wa Maridhiano maarufu kama BBI na kusema kuwa ni uharibifu wa rasilimali za umma na wakati

https://p.dw.com/p/3W7cu