Wabunge wa Uingereza kupiga kura ya kutokuwa na imani na May/ Trump atishia kuzisimamisha shughuli za serikali/ Wawili wauwa, 20 wajeruhiwa Lubumbashi kuelekea uchaguzi wa DRC/ Straßbourg: Msako mkali wa polisi unaelendelea kumtafuta mshambuliaji mmoja aliyefyetua risasi karibu na soko mashuhuri la Krismasi ambapo watu wawili wamekufa na 13 wamejeruhiwa