1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.12.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S12 Desemba 2017

Kenya leo inaadhimisha miaka 54 tangu ilipojipatia uhuru // Marais wa Uturuki na Urusi wametoa msimamo wao unaofanana juu ya suala la Marekani kuutambua Jetrsalem kama mji mkuu wa Israel// Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, limesema nchi za Umoja wa Ulaya zimeshiriki katika unyanyasaji wa wahamiaji unaofanyika nchini Libya.

https://p.dw.com/p/2pCND