Kiongozi wa wanamgambo wa itikadi kali wa kiislamu Bahaa Abu el-Atta ameuwa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya anga/ Uturuki yaanza kuwarejesha makwao wapiganaji wa kigeni wa kundi la IS/ Tanzania yatetea malalamiko ya ukiukwaji wa haki za binadamu/ Mpinzani mashuhuri nchini Rwanda, Victoire Ingabire ameunda chama kipya/ Mauwaji Mayimoya na maandamano ya wakaazi kuomba Monusco kuondoka