1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.10.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S12 Oktoba 2018

Nchini Tanzania bado juhudi zinaendelea kumtafuta mfanyabiashara na bilionea mdogo zaidi barani Afrika Mohammed Dewji, aliyetekwa nyara jana alfajiri// Zaidi ya watu 30 wamekufa kufuatia maporomoko ya ardhi yalioandamana na mafuriko katika wilaya ya Bududa kwenye miteremko ya mlima Elgon Mashariki mwa Uganda.

https://p.dw.com/p/36RMT