1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.08.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S12 Agosti 2019

Nchini Tanzania idadi ya waliofariki dunia kufuatia ajali ya lori la mafuta mjini Morogoro imeongezeka na kufikia 75 Idadi hii inaongezeka baada ya wengine 4 kufariki dunia hii leo// Kiongozi wa vuguvugu la wanaopigania kujitenga eneo la kusini mwa Yemen, Aidarus al Zubaidi anasema yuko tayari kushiriki katika mazungumzo ya amani yatakayosimamiwa na Saudi Arabia.

https://p.dw.com/p/3NmwR