1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.07.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S12 Julai 2021

Jeshi la Afrika Kusini llinapeleka wanajeshi katika mji Johannesburg ili kukabiliana na ghasia zilizoibuka kufuatia kifungo cha rais wa zamani, Jacob Zuma/ Je, kifungo hiki cha Jacob Zuma kinamaanisha nini kwa utawala wa kisheria nchini humo?/ Nchi za ulimwengu zatakiwa zichukue hatua kupambana na maovu ya utumwa/ Wanamgambo wa Taliban wakamata miji zaidi Afghanistan

https://p.dw.com/p/3wNwl