Donald Trump Jr. amesema mkutano wake na wakili wa Urusi haukutoa habari zozote nyeti kumhusu Hillary Clinton // China imewapeleka wanajeshi watakaohudumu katika kambi yake ya kwanza ya kigeni nchini Djibouti // Na Marekani imetishia kumuwekea vikwazo yeyote atakayezuia uchaguzi wa rais katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo