Rais wa Marekani Donald Trump yuko njiani kurudi nchini Marekani baada ya mkutano wake wa kihistoria wa kilele na kiongozi wa Korea Kaskazini Kimm Jong Un// Waziri anayehusika na masuala ya Uingereza kujiondoa Umoja wa Ulaya-Brexit David Davis amesema ana imani kuwa serikali itafikia makubaliano na Umoja wa Ulaya.