1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.05.2022 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S12 Mei 2022

Mzozo wa Ukraine/ Nchi zinazolizunguka Ziwa Tanganyika pamoja na Rwanda zimehitimisha kongamano la kimataifa la uwekezaji na biashara/ Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine umechochea uhaba wa chakula ulimwenguni huku zao la mtama likipewa chepuo kama muarobaini wa tatizo hilo. Je, unaweza kusaidia kurejesha usalama wa chakula duniani?/ Kongo: Maandamano wa waalimu

https://p.dw.com/p/4BAJj