12.04.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 12.04.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

12.04.2019 Matangazo ya Jioni

Utawala mpya wa kijeshi nchini Sudan umesema utaanzisha majadiliano ya wazi na makundi yote ya kisiasa katika harakati za kuunda serikali ya kiraia// Serikali ya Burundi imekutana na mabalozi wanaoziwakilisha nchi na mashirika ya kimataifa nchini humo// Imebainika kuwa Baraza la Siri la Usalama nchini Ujerumani limeruhusu silaha zisafirishwe hadi katika nchi zinazopigana vita nchini Yemen.

Sikiliza sauti 60:00