1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.03.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S12 Machi 2021

Leo umetimia mwaka mmoja tangu kisa cha kwanza cha virusi vya corona kilipotangazwa nchini Kenya// Wakimbizi wa Syria nchini Uturuki wanasema hawathubutu kufuata ndoto zao na kurudi nyumbani wakati Rais Bashar al-Assad bado akiwa yuko madarakani// Amnesty International- Vyombo vya usalama nchini Myanmar vinatumia silaha za vitani dhidi ya waandamanaji wasiokuwa na silaha.

https://p.dw.com/p/3qWUs