12.03.2019 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 12.03.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

12.03.2019 Matangazo ya Mchana

Marekani yajiunga uchunguzi ajali ya Ndege/ Serikali ya Uganda imezidi kukanusha madai ya serikali ya Rwanda kwamba inawapa hifadhi wakosoaji wa utawala wa rais Paul Kagame/ Algeria: Bouteflika kutogembea muhula mwingine wa urais/ Walimwengu wasubiri kuijua hatima ya Brexit

Sikiliza sauti 60:00