1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.02.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S12 Februari 2020

Leo hii mwili wa aliyekuwa Rais wa pili wa Kenya Daniel Toroitich Arap Moi utazikwa nyumbani kwake Kabarak/ Utawala wa Rais Trump unapanga kuharakisha kesi za watu wanaotaka hifadhi nchini Marekani/ Umoja wa mataifa umesema utafanya majaribio ya kutumia ndege zisio na rubani katika kuwapulizia dawa nzige wa jangwani ambao wamevamia mataifa ya Afrika mashariki na kuharibu mimea

https://p.dw.com/p/3Xe1p