1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.01.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S12 Januari 2022

Tanzania: Zoezi la kuaga miili ya waandishi wa habari waliopoteza maisha katika ajali/ Shambulio la Al-Shabaab laua watu kadhaa Mogadishu/ Ujerumani: Maambukizi ya virusi vya corona yafikia viwango vya juu/ Johnson ameomba radhi kukiuka masharti ya kuzuia kusambaa virusi vya corona. Aidha, ametupilia mbali mito ya upinzani ya kutaka akjiuzulu/ 1,700 wakamatwa Khazakhstan, serikali mpya yaapishwa

https://p.dw.com/p/45RWb