11.12.2019 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 11.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

11.12.2019 Matangazo ya Mchana

Waziri Mkuu wa Myanmar anatoa ushahidi katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu/ Greta Thunberg ahutubia mkutano wa COP25/ Tanzania: Mkutano mkuu wa Chadema pamoja na mabaraza yake unaendelea/ Kampeni za lala salama nchini Uingereza/ Kenya ni taifa lililoekeza na kushinikiza zaidi matumizi ya nishati safi huku serikali kuu ikiendelea kuhimiza matumizi ya gesi badala ya kuni na mafuta ya taa

Sikiliza sauti 60:00