Suu Kyi atetea operesheni za jeshi la Myanmar dhidi ya Warohingya/ China yaongoza kwa kuwatupa jela waandishi wa habari/ Vikao vya kusikiliza unyama wa Jammeh vyatimiza mwaka/ Mahakama ya mjini Nairobi imempiga marufuku Gavana wa kaunti hiyo kuendelea na majukumu yake ya ugavana. Kaunti ya Nairobi imekuwa haina naibu gavana kutokana na aliyekuwepo kutimuliwa kazini> Mahojiano