Rais Vladmir Putin wa Urusi yuko Misri ambako ameshakutana na mwenyeji wake rais Abdel Fatah el Sisi na kuzungumzia juu ya nchi hizo mbili kutanua ushirikiano zaid// Hafla ya maombolezi kuiaga miili ya wanajeshi Tanzania waliouawa katika shambulio la waasi wa Uganda ADF katika eneo la Semuliki wilayani Beni desemba saba, zimefanyika mjini Beni leo.