1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.11.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S11 Novemba 2021

China na Marekani zakubaliana kushirikiana katika mkutano wa COP26+++Viongozi nchini Kenya wametoa wito kwa idara ya polisi kuhakikisha usalama wa naibu rais William Ruto+++Muungano mkuu wa kisiasa wa kiraia nchini Sudan umekataa kuwa na mazungumzo yoyote na jeshi+++Wimbi la 4 la corona laitikisa Ujerumani+++Mgao wa maji Tanzania wazidisha adha kwa wananchi.

https://p.dw.com/p/42rgr