1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.11.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S11 Novemba 2021

Fredrik Willem de Klerk, rais wa mwisho mweupe wa Afrika Kusini amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 85+++Mkuu wa majeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Gen.Celestin Mbala Munsense anafanya ziara ya kikazi nchini Rwanda+++Pakistan imekuwa mwenyeji wa mazungumzo maalum na wajumbe kutoka Marekani, Urusi na China kujadili juu ya kadhia ya Afghanistan.

https://p.dw.com/p/42tKl