1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.11.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S11 Novemba 2020

Tanzania: Madai kutoka kwa baadhi ya wanasiasa kwamba hawako salama kufuatia vitisho wanavyovipata dhidi ya usalama wao kutoka kwa vyombo vya usalama> Mahojiano/ Viongozi wa Muungano wa Makanisa nchini Kenya wameelezea wasiwasi kuhusu jinsi mchakato Maridhiano ya BBI unavyoharakishwa/ Burundi yapiga mnada mali ya wapinzani/ Wabunge wa upinzani wajiuzulu Hong Kong

https://p.dw.com/p/3l9mr