11.11.2019 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 11.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

11.11.2019 Matangazo ya Jioni

Shirika la ukadiriaji ubora wa bidhaa nchini Kenya limezipiga marufuku kampuni tano za kuuza unga kwa kuingiza unga wa mahindi usio kuwa na viwango. Shirika hilo limeonya umma dhidi ya kutumia bidhaa hizo kuwa na sumu ya aflatoxin inayosababisha saratani ya Ini > Mahojiano/ Jordan yarejesha udhibiti wa maeneo yanayolimwa na Israel/ Msimu wa tamasha maarufu la Kanivali umeanza rasmi

Sikiliza sauti 60:00