Muungano Mkuu wa Upinzani nchini Kenya-NASA umefanya maandamano kote nchini na kusema kuwa maandamano hayo yatakuwa yakifanyika kila siku hadi matakwa yao ya kufanyika kwa marekebisho kwenye Tume ya Uchaguzi yazingatiwe// Hali ya kisiasa nchini Kenya kwa sasa imegubikwa na maswali mengi.