1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.09.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S11 Septemba 2020

Leo ndio siku ambayo Tume ya Uchaguzi Zanzibar imeruhusu kuanza kwa kampeni za urais, wajumbe wa baraza la wawakilishi pamoja na madiwani// Wabunge waliostaafu nchini Kenya wamepata pigo baada ya Rais Uhuru Kenyatta kukataa kuidhinisha mswada wa kuwalipa pensheni ya dola elfu moja// Viongozi wa EuroMed7 wako tayari kuunga mkono vikwazo vya EU dhidi ya Uturuki.

https://p.dw.com/p/3iKvZ