Rais Donald Trump amfuta kazi mshauri wa masuala ya usalama wa kitaifa John Bolton/ Rwanda yachukua wakimbizi 500 waliokwama Libya/ UN, EU, Jumuiya ya Kiarabu zampinga Netanyahu kuhusu Ukingo wa Magharibi/ Tanzania imepokea faru weusi tisa kutoka nchini Afrika Kusini