1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.08.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S11 Agosti 2020

Kundi la Taliban limesema liko tayari kuanza mara moja mazungumzo na serikali ya Afghanistan/ Lebanon imepitia mengi. Lakini kile kilichotokea hivi karibuni katika bandari ya Beirut kilishinda chochote kile ambacho raia wa nchi hiyo wangefikiria/ Dalili za kwanza za ukali wa sheria mpya ya usalama wa taifa zimeanza kuonekana katika jimbo la Hong Kong mwezi mmoja baada ya kuwekwa kwenye jiji hilo

https://p.dw.com/p/3gmGi