Ujerumani na washirika wake wa Ulaya wapinga mipango ya Israel kunyakua maeneo ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi // Mahakama ya Kimataifa ya Jinai yawataka washukiwa wa uhalifu wa kivita Sudan wajisalimishe // Na Korea Kaskazini yaionya Marekani kuwa kuingilia mambo yao ya ndani kutaathiri uchaguzi wake