1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.06.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S11 Juni 2020

Baraza la mawaziri la Burundi lakutana kikao cha dharura/ Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki leo yatawasilisha bungeni miswada ya bajeti kwa mwaka 2020/2021> Mahojiano/ Masoko ya hisa yahofia wimbi la pili la maambukizi ya Corona/ Polisi wa mauaji ya Floyd aachiwa kwa dhamana/ Ujerumani ipo tayari kuomba msamaha kwa mauaji ya halaiki ya enzi za ukoloni dhidi ya watu wa jamii za Herero na Nama

https://p.dw.com/p/3ddQv