1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.06.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S11 Juni 2019

Wanajeshi kadhaa wanashikiliwa rumande kufuatia kuuwawa kwa watu katika maandamano ya amani mjini Khartoum wiki iliyopita// Watu wapatao 95 waliuawa katika mashambulizi mabaya usiku wa kuamkia jana katika kijiji cha Dogon nchini Mali// DR Congo- Wanachama cha Lamuka chake Moise Katumbi wameeleza hasira yao baada ya kiongozi huyo kukataliwa ndege yake isituwe kwenye uwanja wa kimataifa wa Goma.

https://p.dw.com/p/3KAyZ