Ethiopia itafanya uchaguzi wake wa bunge mnamo mwezi ujao wa Juni, lakini zoezi la uandikishaji wapigakura lina viraka/ Wito wa Biden kutaka sheria ya hakimiliki kuhusu chanjo za COVID-19 kuondolewa, umeibua hisia mseto barani Ulaya/ Waumini wa dini ya kiislamu wanataraji kuhitimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani ndani ya juma hili