1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.05.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S11 Mei 2020

Pence ajitenga baada ya mfanyikazi wa Ikulu kuwa na Corona/ Zambia kutangaza kufunga mpaka wake kwa muda na Tanzania/ Mripuko wa gruneti waua watu 2 Bujumbura/ Shirika la Amnesty lazishtumu Syria na urusi kwa 'uhalifu wa kivita' Kaskazini Magharibi mwa Syria/ Libya: Kumeshuhudiwa mashambulizi makubwa ya mabomu mjini Tripoli jana

https://p.dw.com/p/3c1gB