1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.05.2019 Taarifa ya habari asubuhi

11 Mei 2019

Waasi wa Houthi nchini Yemen wakubali kuyaondoa majeshi yake kutoka bandari tatu muhimu za nchi hiyo // Wawakilishi wa Marekani na China wamekamilisha mazungumzo yao bila kutoa maelezo // Na Nchi 70 zaitaka Korea Kaskazini kuachana na mipango yake ya silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu

https://p.dw.com/p/3IJuE