1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.05.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S11 Mei 2018

Mataifa ya Ulaya yanajaribu kuyalinda makubaliano ya kimataifa kuhusu mpango wa nyukilia wa Iran bila ya Marekani// Kenya imeandika historia mpya kama nchi ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki kurusha satelaite katika anga za juu, hatua ambayo inasema ni ya mwanzo katika mpango wa kujitosa kwenye utafiti na uchunguzi wa sayari za mbali.

https://p.dw.com/p/2xYdB