1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.02.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S11 Februari 2021

Leo imetimia miaka kumi tangu maandamano ya msimu wa machipuko ya mwaka 2011 nchini Yemen// Marekani, Wademocrat wanaendelea leo kuwasilisha hoja zao katika kesi dhidi ya rais wa zamani Donald Trump ambayo inasikilizwa kwenye Baraza la Seneti mjini Washington// Rais wa Marekani Joe Biden na Xi Jinping wamefanya mazungumzo yaliyojikita juu ya ukiukaji wa haki za binadamu katika eneo la Xinjiang.

https://p.dw.com/p/3pEaM