1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.02.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S11 Februari 2020

Rais Kenyatta wa Kenya leo anawaongoza raia wa taifa hilo kutoa heshima za mwisho kwa rais wa pili wa taifa hilo Daniel Arap Moi/ Kongo: Waasi wa ADF wameingia kwenye mkoa wa Ituri na kuanza kufanya mauaji. Hali hiyo imesababisha wakaazi kukimbilia mji wa Beni/ Wito wa kukabiliana na nzige watolewa na UN/ WHO kukutana kukijadili kirusi cha Corona

https://p.dw.com/p/3Xaoq