11.01.2022 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 11.01.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

11.01.2022 Matangazo ya Jioni

Tanzania: Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari la waandishi wa habari lililokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC) kugongana na gari la abiria katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu/ Upinzani DRC wadai Tshisekedi anaandaa ushindi wa uchaguzi/ Tigray: Watu 17 wameuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani/ Wito wa maandamano kupinga vikwazo vya ECOWAS nchini Mali

Sikiliza sauti 59:59