1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.01.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S11 Januari 2021

Rais wa Msumbiji ziarani nchini Tanzania/ Uganda: Mtandao wa Facebook umefafanua kwa nini umezifungia kurasa za mitandao ya kijamii za wafuasi kadhaa wa chama tawala NRM/ Kenya: Jaji Mkuu David Maraga kuastaafu rasmi/ Tanzania: Kikao kati ya wamiliki wa vyombo vya habari, watoa huduma ya ving'amuzi pamoja na wizara ya habari utamaduni/ Kura ya kumuondoa uongozini Trump kufanyika Jumatano

https://p.dw.com/p/3nnFl