1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.01.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S11 Januari 2019

Baada ya siku kadhaa za mvutano juu ya tamko la rais wa Marekani Donald Trump kwamba ataondoa majeshi yake nchini Syria, afisa mmoja wa kijeshi amesema hatua hiyo imeanza kutekelezwa huku akikataa kuizungumzia zaidi

https://p.dw.com/p/3BQ3N