Rais Mteule wa Marekani Donald Trump hii leo amekumbana na madai mazito kuhusiana na taarifa zinazoweza kutumiwa vibaya dhidi yake// Upinzani nchini Kenya umezindua muungano mpya wa kisiasa utakaokabiliana na chama cha Jubilee katika uchaguzi mkuu ujao// Raia wanane wa Tanzania wanaendelea kuzuiliwa nchini Malawi kwa madai ya kuingia nchini humo bila kibali.