1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.12.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S10 Desemba 2021

Raila Odinga atangaza nia ya kuwnia urais katika uchaguzi ujao Kenya+++Samia Suluhu na Uhuru Kenyatta wamesisitiza haja ya nchi zao kuendelea kuondoa vikwazo vinavyodumaza mahusiano mema+++Leo ni siku ya kuadhimisha azimio la Umoja wa Mataifa juu ya haki za binadamu+++Mahakama moja ya rufaa nchini Uingereza leo imefungua milango ya kurejeshwa nchini Marekani kwa Julian Assange.

https://p.dw.com/p/446lw