1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.12.2020 Matangazo ya Mchanao

SK2 / S02S10 Desemba 2020

Rais wa Ghana ameshinda muhula wa pili madarakani, kulingana na matokeo rasmi yaliyotolewa na tume ya taifa ya uchaguzi. Lakini chama kikuu cha upinzani kimesema kitakata rufaa kupinga matokeo hayo/ Kauli mbiu inaangazia vipi kusimama tena na kupiga hatua zaidi kutetea haki za binadamu hata baada ya janga la COVID-19/ Mustakabali wa mazungumzo ya Brexit kujulikana Jumapili

https://p.dw.com/p/3mWiu