Umati wa waombolezaji umejitokeza katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kuuaga mwili wa mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Ali Mufuruki// Tume ya Haki za Binadamu nchini Kenya limetoa ripoti lilikishutumu bunge la Kenya kuzuia kutendeka kwa haki kwa wahanga wa ghasia za baada ya uchaguzi za mwaka 2007/2008// Urusi na Ukraine wakubaliana kusitisha mapigano.