1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.11.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S10 Novemba 2016

Rais Barack Obama anajiaandaa kumpokea rais mteule wa Marekani Donald Trump katika ikulu ya White House// Zaidi ya nusu ya Wajerumani wanamtaka Kansela Angela Merkel kugombea tena muhula wa nne// Bunge la Tanzania limeazimia serikali ya nchi hiyo isisaini mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi za Afrika Mashariki na Umoja wa Ulaya ujulikanao kama EPA.

https://p.dw.com/p/2SUxx