Polisi nchini Ujerumani wamemkamata mkimbizi wa Syria aliyukuwa akisakwa kwa tuhuma za kuandaa shambulio la kigaidi// Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ameanza ziara yake barani Afrika// Nchini Kongo,Rais Joseph Kabila amekutana na viongozi wa vyama vinavyomuunga mkono//Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini yuko ziarani nchini Kenya// Leo Ulimwengu waadhimisha siku ya kimataifa ya magonjwa ya Akili.