10.09.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 10.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

10.09.2021 Matangazo ya Mchana

Waandishi habari tisa wa DW wamefanikiwa pia kuondoka nchini Afghanistan kupitia Pakistan+++Rais Joe Biden wa Marekani amezungumza na mwenzake wa China, Xi Jinping, kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miezi saba+++DR Congo- Vijana mjini Beni washika Doria kufuatia ongezeko la uhalifu+++ Mpinzani wa kisiasa akamatwa kwa madai ya ubakaji Rwanda.

Sikiliza sauti 60:00