Brexit/ Kenya: Kwa nini vurugu zote za kisiasa zinazotokea Rais Kenyatta amekaa kimya? > Mahojiano/ Mzozo kuhusu vizuizi maalum unafukuta nchini Uganda kati ya bunge na vyombo vya usalama/ Jeshi la Nigeria linashtumiwa kwa ukiukaji wa haki za kibinadamu kwa kuwazuilia bila ya kuwafungulia mashtaka maelfu ya watoto wanaoshukiwa kuwa wafuasi wa kundi la wapiganaji la Boko Haram